Retirement kutoka bizna ya kaya

November 20 2014 12:47pm     0 650

Photo Credit:Google   Tingua risto

Nishajua nikimaha 254 kule nitaenda. Washington ndio mayadi ya kustay kama uko kwa biz ya kutumia, kufarm ama kudonyo ndom. Nasema hivyo juu ni janamo ya area zenye gava zimekubalisha hii bizna kuendelea.

Na bila kuwaste wakati, Fireweed Farms of Prosser, waliamua kuhold auction ya kudonyo product zao kwa State-licenced processors and retailers. Waliweza kukinda 136kg za kaya na kuingiza $600,000, kwa siku jamo tu.

Sema kukafunga, hadi donga wa hii Farm akadai anaenda retirement ndio akuwe na time ya kupoa na grand mniaju wa kwake. Ata alisaidia sana hao wasee wakona mashop za ndom kuwai products mbichi na kuwakindia na bei ya wholesale.

Auction yenyewe ilienda fiti, hadi officer kutoka the State Liquor Control Board alikuwa area, kuyebi na kumonitor hiyo process. Ilikuwa well-organised, kila buyer akiwai list ya aina za kushungpeng, na details kuzihusu. Kulikuwa na option ya kunusa kabla kuboti lakini hanaku msee alikubalishwa kukapasha.

Buyers zaidi ya salasa walijitokeza, but kuna wale hawakutoka na kakitu juu walidai lazima kutest quality. Risto ya kunusa tu haikuwajazz. Ukajua unaweza kuomoka na siku jamo tu, si hisihi ndio bizna ya kuchase!

Related Stories