Schumacher haezi bonga

November 20 2014 1:16pm     0 444

Photo Credit:The Independent   Tingua risto

Tunatambua Michael Schumacher akiwa dere mnoma sana wa F1 enzi zake. Sasa kuna venye Schumacher alipata aksi last year hapo Dec, na venye aliget aksi hajakuwaga poa kulingana na beste yake Philipe Streiff, mwenye pia ni dere.

Streiff anadai Schumacher yuko paralysed kwa wheelchair juu ya zile injuries aliget time ya aksi na pia hawezi bonga na akona blanda ya memory. Hii aksi ilifanyika husuko Meribel France akiwa ana race. Amekuwa akitibiwa kwa hosi nifla inajiita Grenoble University Hospital na CHUV Luasanne husuko Switzeland. Schumacher alifanyiwa operation kwa mongoku kuchuja pressure, inasemekana condition yake ni critical tu sana.

Frenchman Streiff ata akiwa beshte yake kabisa anadaisha enyewe ni hard juu Schumacher yuko kwa wheelchair na hawezi bonga. Schumacher amekuwa world champion mara saba, but anazidi kuget better every day kulingana na Streiff.

Related Stories