Beef ya mamtasis

November 20 2014 1:19pm     0 184

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hii risto ya wasee kutamani za wenyewe, inafaa kukatika. Blanda bwaku hukuwa venye hufanya wadhii kujiingiza kwa situations ngori hadi inakuwa hard kujitoa. Alafu parties involved kubaki wameumia bure.

Kwanza ukajipata kama huyu mjamaa, Jian Tsao, alikuwa amenoki manzi mjamo husuko China, alafu ata wakiwa engaged, akatemana na huyo mbuus baada ya kumeet mtasis wa kwake, Qiao Li Tsui.

Walihave affair na ikabaki Wan Niu amechujwa kwa mbisha, juu Tsui ndio alimarika instead. Ata hawakumaliza mvua jamo, kabla huyu manzi fyatu, Tsui, aliget clande kupitia internet. Na walianza mpango ya kando lakini haikutosha.

 Ikabidi wamepanga venye watachuja hubby kwa equation, na mbuus akavako Jian, waende picnic kwa milima, kule walimstab na kumzika akiwa alive. Walihepa wakidhania wamededisha mudhii lakini kumbe alirudi kugenya juu ya kubreathe in mchanga.

Huyo mboiyz mnira, Cai Chen, alilemewa na hisihi siri ya kumada msee na akajipeleka karao. Aliwashow pale walizikana na kuconfess kila kitu. Mtasis ule aliwachwa alikuwa na machungu kibao na alidai anaweza taka huyo mbuus akuwe shot juu ni mzii kuruka.

Enyewe mapenzi ni hatari, kama itaelekeza kugenya ama kuingizwa neti, heri ikae.

Related Stories