Maajabu ya musa!

November 21 2014 10:52am     0 300

Photo Credit:Google   Tingua risto

Dunia nzima tuna tambua Kim Kardashian. Zaidi ya kuwa socialite mbwaku huko Oteto, amekuwa akitokelezea kwa social media na mastunts kadhaa za kiceleb. Na hizi janta zake zimefanya akawa ameomoka kuruka.

Lakini baada ya kufika Thailand, na kudai kuadopt mniaju mjamo teenie, mtoi alikwara vimajor. Huyo dranya wa miaka kinde na three, amekuwa akistay kwa children’s home tangu masake ampeleke huko juu ya venye walikuwa msoto.

Pink alikuwa amebambika kuskia Kim anadai kumadopt lakini alirudi kufikiria venye life yake itachange mbio na akacheki heri kubaki mtaani. Ata akiwa anajua atawaiwa life mwenda, alikuwa hayuko ready kuacha ile maisha anaishi sahii. Alafu alicheki heri kubaki ndio asaidie waniaju wengine kama yeseye kwa country yao. Pia ata kama ni hustle kufika chuo, amekuwa akido poa ,kwanza ni kachopi kiasi yake.

Tena juu ashamekisha famo nira ninda ya hiyo orphanage, anaskia mbaya kuwaacha manyu. Ilikuwa afadhali ile home kupata hiyo mkwanja kila mtoi asaidike kuliko yeye kuenda solo. Manze ungedhani angerukia hiyo opportunity juu angekuwa mniaju wa sonko pap. Kim hajapatikana kucomment kuhusu hii risto. Lakini ni poa kujua si kila kitu inaweza kubotika ata ukiwa umeomoka aje.

Related Stories