Walidhani ni wera rahisi

November 24 2014 8:51am     0 489

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna country enyewe hushugulikia maslahi ya mambuus. Na this round China imeanzisha mradi fiti sana. Ni kawa kwa majamaa kujitoa wakishadunga mdem odumbo alafu kudai hanaku venye wanaweza saidia.

Lakini gova ya China, inadai lazima mabuda to be wakuwe sensitive kwa partners wao wakienda kujifungua. Sa kuna hosi zinaendeleza daro za mabazenga kukapitia venye mambuus hufeel wakiget waniaju.

Hii ni kupitia shocking lessons yaani kupitishiwa current ya masti kwa abdomen kwa zaidi ya dakika kobole. Alafu inabidi maboiyz wengine kubail juu ya pain mwenda ile wanaexperience. Mjamaa mjamo ata alidai alifeel ni kama roho na lungs zake zinararuliwa kutoka kwa mwili.

Wasee wale wamepitia hizi lessons, wamebaki kushangaa venye madem humanage kusurvive hiyo pain yote. Hadi inabidi wametii. Kwanza ukikumbuka wamatha husuffer masaa kibao kabla  mtoi akam. Hanaku chenye unaweza linganisha na hiyo feeling. Bora tu kuwai wamatha ile respect wanadai.

 

Related Stories