Ndai ni ya nini kama unaweza toka unyoya !

November 24 2014 9:13am     0 493

Photo Credit:Google   Tingua risto

Si ajaabu kuskia risto za makarao kuingia kwenye speed car chase na criminal. Lakini this round walipata ule mbaya.

Manze mavedi wa New Jersey, walibaki wamepagawa baada ya kuwai distress call na walipofika yadi, wakapatana na mkenya Eric Kipkemei Chirchir. Venye jamaa alicheki ngori hakungoja kuskia shuguli yao na akacheki heri kutumia talanta zake kama marathon runner na akazitoka akihepa kubambwa.

Kumbe boiyz alikuwa amegusa dranya wa miaka kinde na ngovo, kwa locker room ya mambuus, akiwa waks hasapo Bogota Golf Center. Alafu alihepa 5miles (8km) na kufanya ufala ya kurudi mtaani, kujificha kwa room ya daughter wa kwake wa miaka sita.

Ata makarao walikubali akona mbio kuruka lakini venye walimget hawakumwachia. Chirchir amewekewa charges za criminal sexual contact, endangering the welfare of a child, resisting arrest na obstruction of justice. Kuna venye pia anaweza kudeportiwa juu ya kuviolate immigration laws.

Sema kuchomea wakenya kwanza athletes mbisha ile vifyam.

Related Stories