Tatoo kwa kondiecha
Photo Credit:Google Tingua risto
Kondiko zimekuwa na compe bwaku vimost, ikiwa wanasaka kampu yenye inaweza kutolesha jamo ya design mwenda. Pia hii biz ya tattoo imechizisha wasee, hadi imekuwa implemented kwa hizo kondiecha.So far tumecheki zikiwa plain, coloured, ribbed, studded, flavoured, na all sizes.
Sa designer wa lingerie, Britta Uschkamp ndio aliwezesha Graphic Armor, kushinda kwa hiyo compe. Inasemekana tattoo ilitumika, iko floral based na inazingatia risto za feminist sana. Alafu pia msee anazitumia, ako sawa na ule msee huboti maua ama kudunga manzi na macompliments ndio aweze kuangukia lungula kiasi.
Kuna venye madem wataweza kujipandisia na hizi CD kuchangamsha bedroom matters. Sana sana juu ya venye lingerie ni expe, heri kusubstitute nazo, alafu kukuwa safe mkisexuana.