Results za UEFA round of 16

November 26 2014 11:02am     0 97

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

On 25th Nov 2014, palikuwa na mechi kadhaa za UEFA Champions League round of 16. Na hasapa tukona results tukianza na Group E, CSKA Moscow wakiwa home na Moscow game iliisha na draw ya 1 - 1.

Tukiwa bado Group E, tunacheki dude kutoka kwake, Sergio Aguero, yenye iliweka hopes za Man City alive, baada ya kufunga at a stoppage time. Na game ikakatika ikiwa Man City FC 3 - 2 Bayern Munich FC. Sasa inamaanisha Man City lazima washinde AC Roma na CSKA wasishinde Bayern, ndio waweze kupenya round next.

Group F nayo APOEL FC waligongwa dude nne mtungi, tukacheki dude yake ya fao UEFA, Luis Suarez. And then hattrick kutoka kwa Messi, na kumake kuwa the leading top scorer in UEFA Champions. Paris Saint-Germain nayo ikarwada AFC Ajax dude tatu kwa moja.

Group G; Shalke 04 wakakung’utwa dude kobole na Chelsea FC. Alafu game yenye ilikuwa na half ndefu, baada ya nare kuleta tafash uwanjo ilikuwa kati ya Sporting Club de Portugal 3 - 1 NK Maribor, na hiyo ndio ilikuwa score line.

Group H nayo FC BATE Borisov, ilitingwa dude tatu mtungi na FC Porto. Alafu game ingine na Group H ni kati ya FC Sharkhtar Donetsk, yenye walikung’utwa na Athletic Club dude moja mtungi.

Related Stories