Mniaju alimada masake

November 26 2014 2:53pm     0 216

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ninda ya mtaa ya Tulsa, Oklahoma, mthama alipatikana amegenya baada ya kumadwa na mniaju wake, wakiwa kwa hao. Ebu imagine mtoi wa miaka tatu, alimada masake akiwa anacheza na ndeng’a yenye inasemekana ilikuwa nichi ya kiti.

 Kwanza nani huficha bunde nichi ya kiti? Sana sana kukiwa na waniaju kwa hiyo jakes, ni kama kujiwekea ngori ukionanga tu. Lakini labda juu huyo masa alikuwa arme ndio maana ikawa hivyo. Njaro bado haijajulikana nani anafaa kuwekewa blame kuhusu hiyo riba.

Sa grandie wao ndio alimuja na kuget hiyo scenerio ishakuwa. Huyo mtoi amebaki na sibling wake wa mwaka jamo, na ata hajashikanisha amededisha madhake juu alishinda akiseme; ‘mummy shot.’

Kabla akuwe rada ya kile alido itakuwa late sana alafu maisha yake yote atakuwa akijilaumu. Makarao waliamua kufunga hiyo kesi kama aksi jamo horrible, kitu ingeweza kuavoidiwa bafo kuhappen bana.

Related Stories