Siku ya kufurahiya na famo

November 27 2014 9:42am     0 241

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hisihi siku ya 27th Nov, imeangukia holiday yenye imeshika zaaidi huko mayolo. Inajulikana kama Thanksgiving Day. Na pia raiya ya 254 wanaweza kujibamba na hizi festivities, juu ni njaro fiti ya kurudisha mkono, kusema asante na kuwai blessings kutoka kwa Sir God na famo kimoja.

Ni siku wasee wanaweza kujipa kwa maombi, lakini za muhimu zaidi ni kujibamba na keroma kibao.  Ata wasee wa husuko majuu hujua lazima kukuwe na turkey (version bwaku ya ngwetes) kwa mradi ya Thanksgiving. Njaro wao hucelebrate hisihi holiday utadhani Krisi imemuja tenee.

Kuna machachiko zimekubali kuzingatia holiday yenyewe. Lakini kama famo mnaweza kuchukua hii time kukaa pamoja na kucount blessing zenyu. Risto ya kugive thanks ni best juu inapatia wadhii syke ya kuzidi kufanya vitu poa. 

Related Stories