Player wa kriko aka genya

November 28 2014 12:01pm     0 311

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

Kuna husuyu player nifla anajiita Phillip Hughes aligenya on Thusday, baada ya kugongwa na ball ya kriko. Ball ilimgonga akiwa ana bat, baada ya ball kubounce na kumgonga. Phillip amegenya akiwa miaka mbao na kobole.

Phillip amekuwa akichezea National team ya Australia, kabla hii kisanga kumdandia. Sasa mafans wamekuwa wakisunda bat za kriko all over kupay tribute kwake Phillip.

Related Stories