Hanaku kunyoa mafudhii bana!

December 1 2014 10:36am     1 684

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tukiingia mwezi ya lachu hii mvua, tunadia kuwajulisha campaign za cancer bado hazijakatika. Juu enyewe hii ugonjwa hapana tambua holiday!

Sa baada ya maboiyz kujibamba na Movember, wakijipa reason ya kutonyoa mandevu zao, mambuus walibaki bila otherwise. This round lakini tutacheki nani mvumilivu zaidi. Introducing… Decembeaver , ikimaanisha hanaku kunyoa mafudhii kwa mambuus wote duniani. Pia hii ikiwa njaro ya kuraise awareness kuhusu cervical cancer na cancer in general.

Kila msee anaelewa mbona ni poa kutambua na kuspread za hizi campaign. Kwa hivyo ukiwachwa juu ya kuparticipate, usikonde. Kwanza itakuwa fiti sana kuanzisha 2015 na wasee ama vitu nira kwa life yako.

Related Stories