Ati karao dingo tena?

December 17 2014 5:49pm     0 229

Photo Credit:Google   Tingua risto

Akiwa karao wa Highway Patrol, husuko Carlifonia, Sean Harrington alipata kwa noma ya ufala kuruka. Anasemekana alidownload na kuforward mbisha za manzi nifla akiwa ndedhe.

Alikuwa amemsimamisha kwa DUI stop, sawa na mututho check ya hasapa 254. Kuna videsa inashow, Sean akiwa na nangos ya huyo mbuus na ata venye alijisambazia hizo mbisha zote.

Enyewe mbuus alikuwa tei na alikuwa pia amebreak law juu ya kudrive akiwa haire level ya .29%. lakini njaro husuyu karao alitumia hii situation kuget password ya nangos alafu kujitumia stuff bila warrant ya kotiko ilikuwa blanda kuruka.

Investigations zinazidi na akipatikana kukuwa guilty, Sean atakuwa kwa ngori fyam ajaabu. Enyewe chenye alidu ilikuwa humiliating sana na ata kuchomea huyo mdem mbisha kinyama. 

Related Stories