Macho kwa uzae…

December 17 2014 6:11pm     0 322

Photo Credit:Google   Tingua risto

Imagine ukianza kuyebi ukiwa mzae baada ya kuzaliwa ukiwa kipofu! Pierre-Paul Thomas, alijikuta kwa hii situation, na maisha yake ikabadilika ata akiwa na miaka 68.

Huyusu mudhii wa kutoka Montreal, aliborniwa akiwa kipofu, na ata baada ya kufanyiwa surgery kibao, hakuwai jua utamu ya kutumia macho zake. Sa akiwa tu mzae, alipata nux inengi na kudunda kwa stairs, aksi ilibidi amefikishwa hosi kufanyiwa surgery, juu alikuwa amevunjika bones kadhaa kwa uso.

Sa madoki wakimcheki, wakamuuliza kama anaweza taka kufixiwa macho pia. Swali ilimuacha kwa shock juu alidhani hanaku remedy. Lakini kumbe alikuanga na condition inacause damage kwa optic nerves, cataracts na congenital nystagmus. Kitu hufanya macho kusonga involuntarily.

Alikubali kumekiwa na sahii inabidi kujifundisha vitu kama colours na shapes. Lakini matime anaweza lemewa na vitu anayebi hadi inabidi kugusa kuconfirm tu. Hadi anafeel kama mtoi tena.

Enyewe kuna vitu ata hatufikiriangi kukuwa bwaku lakini zina maana sana na tunafaa kuappreciate.

Related Stories