Sema ng’we!

January 22 2015 3:16pm     0 152

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumbe risto za uchawi hasapa 254 ni za ukwela. Dere nifla wa buu ya chuo ya husuko Kisii county, alijipata kwa ngori juu ya kukosa kuamini.

Noma ilitokelezea vile, directors wa chuo kuzusha eti kuna msee anadingo mbuku na wakachora waks mganga ndio aweze kusaka nani anafanya hizi visanga. Baada ya kupeana mavako kama zote, husuyu dere alijitolea kunywaku ‘truth portion’ kuprove ako innocent.

So lembe ya kijiji nzima alinywaku hiyo stuff na kugenya pap. Kumbe yeseye ndiye alikuwa ule dingo walikuwa wanasaka. Usione il fracas ilifwatia, juu raiya walianza kuchoma buu na hao ya depa kwa hasira. Hadi makarao walikuwa yadi walibaki kushangaa.

Hapo bafo kuna mganga mwinengi alikuwa amedai anaweza fufuwa wadhii wamegenya. Na raiya ikamletea corpse lakini baada ya gidhaa kadhaa alilemewa . kabla wadhii washikanishe anawavako, akadai amechoka na anadai kuchill kiasi kabla hajaendelea.

Wadhii walikuwa wamemuja kucheki miujiza walijam kuruka, wakidai wamewastiwa sana, na wakataka kumada huyo mganga. Nikidhani wasee huamini chenye wanawant. 

Related Stories