Nalinga kuingia fashoni

January 23 2015 5:16pm     0 414

Photo Credit:the guardian   Tingua risto

Kwa fashion show za mambuus, sio ajaabu kucheki jeggi ama haga exposed. Na kuna venye zile cladi wanamodel hukinda sana kuliko za kawa. Lakini hakujawahi kuwa na nalinga exposed kwa cat walk, hadi sahii.

Sho ya Rick Owens’ menswear, husuko Paris, iliwacha wadhii wakiwa na alama ya mshangao. Kwanza aliget models machali wannei wakiwa ndedhe area ya mbele. Njaro wadhii walikuwa wameketi front row waliget kuyebi kila detail bila censor.

Baada ya parasha kusambazwa, kulianzishwa #dickowens kwa Instagram, ni vile alibreak taboo kama zote. Enyewe hii ni kushow venye wasee wanaweza fanya any kuwai ganji na fame, hadi kufyatukiwa inakuwa ni creative pia.

Unaweza boti hizi cladi na kung’ara, ama ni blanda sana?  Yebi mbisha hasapa.

Related Stories