King Abdulla bin Abdulaziz ameuma pamba

January 23 2015 5:47pm     0 69

Photo Credit:Google   Tingua risto

King Abdullah wa Saudi amegenya akiwa na miaka 90, baada ya kusuffer lung infection. Half-bro wake, Salman bin Abdulaziz alifill seat yake kama King mnira wa Saudi Arabia. Uzuri ya kukuwa Islamic State hii process haikutake masaa kibao kabla kuhappen.

Raiya wameshikwa na huzuni vimost. Lakini risto ya kutishia zaidi ilikuwa venye price ya ngata ilipanda baada ya King kudedi. Hii ni juu production ya husuko ndio bwaku vimajor ikiwa inaexport irori kwa countries kinde na limbi.

King mnira Salman, akona miaka 80, na kumbe alikuwa ashaanza waks vile Abdullah alikuwa msick. Hapo bafo ashawai kuwa Governor wa Riyadh mara mbwegz na time inengi akawa Defence Minister baada ya bro yake mwengine kugenya.

Hisihi famo ya maroyals itazidi juu budao alikuwa na mawives mbao na mbili. Alafu mabro wote wakiwa arbesa na kobole. Ata hatujafikia watoi wao na grand kids. Tunashare sorrow na raiya ya Saudi na kupatia royal famo pole kwa kulostisha msee wa maana.

Related Stories