Team Sheng kwenye Dustio

January 26 2015 2:57pm     0 418

Photo Credit:capital fm   Tingua risto

Ndeima ya 26th Jan 2015, Go Sheng Team, wanakwachu opportunity ya kuchill na presenters wa Capital FM. Alafu imebidi tumechagua wazito wambwekz kurepresent hasapo ninda ya dustio, kuweza kuexplain role ya Sheng kama language, kwa raiya ya 254.

Mr.Gathu na Mr Kelvin watakuwa hasapo wakibongesha Amina na Soulo wenye hurun show, hii day ikiwa ya Doba na Hiphop. Na juu lazima kangoma kusambwa, hanaku option ya kuchuja DJ wa kuchapilia mamix.

Manze msisahau kuskiza tenje, iwe mtaani ama kwa nangos, progi ya Hits Not Homework, yenye hukuwa ina-air kutoka 7 hadi 10 magizani. 

Related Stories