Boiro kurudishwa kukuwa yayo tena!

January 26 2015 4:12pm     0 183

Photo Credit:cbnc   Tingua risto

Vortex Fluidic Device ndio mashie nira yenye inaweza geuza boiro to yayo tena. Ilimekishwa na scientists kutoka Linders University, Australia,  ikiwa Colin Raston na collegues. Kumaanisha costs za cancer treatment, production ya keroma na research zinengi zitashuka na kuweza save time na mkwanja kibao.

Tunatambua yayo ikona level high vimost ya proteins, na ikipikwa hizo protein huanza kujifold na kukuwa tight hadi kuform structure iko tangled. Lakini hisihi process wakitumia hiyo mashini, itaweza gawanisha protein zimeshikana na kurudisha yayo kwa state yake oriji.

Unaweza kuwa unashangaa venye itatusaidia. Kumbe ilitumika kama cancer treatment ambapo walifanya  kumekisha antibodies zile hujiattach kwa proteins, na kukubalisha immune system kudestroy cancer cells. Ilikuwa fasta na ikisave ganji mob sana. Ikitumika fiti tutasahau kuhusu cancer soonest.

Related Stories