Pasii kuonekana akiwa ndedhe

January 26 2015 4:28pm     0 178

Photo Credit:Google   Tingua risto

Pasii wa Durban S.A, akitambulika kama Sthembiso Zondo alikaribishwa na mafans wake kwa chachiko ata baada ya videsa kusambaa, akiwa ndedhe kuruka. Kwanza itadaishwa yeseye ni hero.

Alirudi chachiko akiwa amecladi thuti jamo smata, na alipata mambuus wa kongi wakiwa na shangwe na vigelegele za kumkaribisha. Inakaa ile love wakonayo kwake ni bwaku kuliko reason ya videsa yake kutokelezea.

Wafuasi wa hsihi Soul Renaissance Church, walimuja wakiwa tayari kukesha ile place. Pia walipiga pasii wao support wakiwa hawajali vile nalinga yake, parasha zikidai ni Anaconda, ilitokelezea aje kwa videsa.

Akijitetea, pasii alidai huyo mbuus alitake na kupost hiyo videsa ni Devo, lakini yeseye kama msee amemforgive na risto yake ikuwe funzo kwa majamaa kujichunga kutokana na madem kama husuyo. Enyewe inakaa ukiwa na confidence mwenda unaweza kuponea kitu yoyote. 

Related Stories