Unafaa kunoki nani?

January 27 2015 11:20am     0 207

Photo Credit:Google   Tingua risto

Imagine ukijipata kwa situation yenye umenoki bazenga koya? Unaweza zidi na hiyo feeling ya ulovito ama utatemana na hii riba fasta?

Kumbe kuna famo kadhaa ziko stuck kwa hii dilemma, na imebidi wamekubali. Inatambulika incest kukuwa taboo, sana sana kwa sababu ni illegal alafu pia chances za kuget waniaju wako na health issues ama deformities ni high vimost.

Lakini kuna mambuus wameamua kutojali na kukatia ama kukubali kuingia box ya mabuda zao, wakidai ni mapenzi. Zaidi ya physical attraction, wao hudai kukuwa na understanding murwa. Njaro ni hard ata kukosana juu wanaelewana kindani ndani. 

Kuna wale bado wameficha relationship zao, lakini kuna wenye wameenda farthest hadi kumarika na kuget waniaju. Kuna mjamo aliulizwa anafeel aje kutuna na ex wa masake? Na alijibu akidai hawes feel any, juu hawezi kumbuka akiwaona kama couple. Sa yeseye ako tu sawa.

Nikidhani blanda bwaku humuja mapero wakiwachana, alafu mtoi ananyimwa rights za kutambua bazenga ni nani. sa huyo mtoi hugrow up akiwa na issues kibao, njaro anataka msee atamkubali, haijalishi aje. alafu wakirudi kupatana na huyo 'lost father' wanamixika kujua tofauti ya Love ya famo na ile inengi. Wesewe unacheki hii ikiwa risto ya kujenga ama inakatsia? Tuchapie ukitushow maoni zako bana.

Related Stories