Capital One Cup Chelsea vs Liverpool

January 27 2015 2:18pm     0 160

Photo Credit:Pete Hall   Tingua risto

Day ya leo ikiwa date 27th Jan 2014, patakuwa na mechi kadhaa tamu tamu kuwatch, mwanzo kuna AFCON game zinaendelea, team ziki try kuqualify quarters.

Tukivuka na kuingia mayolo, patakuwa na Capital One Cup, na team zinapatana zinatafuta place kwa fainali ya hii tona. Team zinapatana ni Chelsea na Liverpool na watakuwa wanahost, husuku Stamford Bridge.

Hii mechi itakuwa ya nguvu juu tukiyebi, Chelsea ndio wanalead kwa English Premier League. Alafu Liverpool wanado viudu sana na wanatry kuweza shinda mechi yoyote wanapatana nayo. Saa juu hii Capital One Cup ndio tona wanaweza penya trophy incase waguse vipoa.

Nao Chelsea since wamekuwa na mechi poa for quite a while hawawezi kubali kushindwa na Liverpool.

Related Stories