FKF na KPL kuplay league tofauti

January 29 2015 12:08pm     0 106

Photo Credit:Standard Digital   Tingua risto

Football Kenya Federation na Kenya Premier League, wakiwa wanachapiana walibaki wamepart ways tena, wakidaisha kuna venye wataplay league tofauti.

Hii riba ikiwa inazidi, palikuwa na World Football Governing Body FIFA officials wakiskiza venye kunaenda. Na ikadaisha ni sawa kama watapart ways, na FKF ikadaisha inaenda kuorganize fixture ya tona yake, na ikadaisha league kuanza date 14 Feb.

While KPL ilikuwa imedaisha hapo earlier, patakuwa na team kinde na 8, na mechi zenyewe zitastart date mbaula na jamo. Hizi risto ikizidi kuenda venye zinaenda, inamaanisha soccer players wataloose sana.

Management ya futa hasapa 254 ni ya udu sana, na inaturudisha zile siku za tene, zenye futa ilikuwa inaraniwa na mdhii mjamo. Inafaa gava kuintervine hii  risto na iweze kusort hizi war mob kwa management.

Sasa hasapa ndio place ngori hutokea, FIFA hudaisha gava ikajaribu kuingililia hii riba itaban Kenya from International matches. Juu FIFA inatambua venye gava ya Kenya ni corrupt tu sana.

 

Related Stories