Drama la coasta

January 29 2015 3:10pm     0 109

Photo Credit:Google   Tingua risto

Makarao wa coasto walijipata ninda ya cat and mouse chase baada ya kufwata mapedi hadi kwa maskan yao. Hisihi hideout ndio ilikuwa place wanandonyo madre na kuduu biz zinengi za kitapee.

Sa wakiwa bado wanascout hizi mayadi, walispotiwa na wale mapedi kutoka unyoya, kila msee akipenya na njia tofauti. Lakini kuna wambweks wenye waliamua kujirusha kwa waba. Lakini walisahau ile sio swimo ya kawa juu walikuwa wamejiingiza ninda ya Indian Ocean.

Inakaa walikuwa mahaire, juu walichoka yao yote hadi ikabidi makarao kuwatumia rescue team, watolewe kwa woiyes. Ofcos hawakusamehewa, juu walibambwa na watalipishwa kuwaste resources za gava.

 

Related Stories