Mavedi wamejaza matricks

January 29 2015 4:26pm     0 259

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumbe kuna aina mbao tofauti za kamenje,zenye zinatumika kuspy on motorists. Wacha uwachanuwe, ndio uweze kuzispot bafo hazijakunasa. Lakini hanaku njaro ya kuhepa kama ushatenda criminal activity.

Wakati unadrive, hizo kamenje zinamonitor traffic, zikicollect data. Alafu zinacheki speed na hadi kurecord plate mbana ya ndai koya. Inasemekana hii mradi imekuwa ikisaidia sana kuimprove road safety juu wadhii wanaget speeding fines mwenda.

Njaro ya kuhepa kubambwa kiufala ni kutii na kufwata raod safety rules. Hanaku haja ya kujiona otero kwa baro. Tena ukidai kutolipa zile fine, utabambwa na kutupwa neti fasta kuliko venye unawza drive away. 

Related Stories