Oliech na risto ya band ya capi

January 30 2015 11:10am     0 241

Photo Credit:NairobiNews   Tingua risto

Inasemekana eti venye Dennis Oliech former capi wa Harambee stars, alinyang'anywa band ya ucapi, ni zaidi na yeseye kukosa kuperform uwanjo. Hii risto imetoka kwa mtasis wake Elsie mwenye wanadunga na yeseye husuko France.

Tunajua Oliech anakuwaga based husuko France, aliponyang'anywa band na ikageiwa kwa Southampton midfielder Victor Wanyama. Hii ni juu Oliech walikatiziana na koches wa bafo Adel Amarouche, kwa qualifiers za World Cup. Amarouche alidaisha Oliech hakuwa na discipline ndio maana walikatisiana.

Kulingana na Elsie, Mtasis wa Oliech,  anadaisha kunyang'anywa captain's band ni juu ya ile mkwanja yenye (Mike Sonko) alimochoa kugei Harambee Stars, na ilikuwa mita jamo. Juu Oliech alijihide from the officials na akagei maplayers wenzake hiyo ganji.

Maofficials waliposhikanisha Oliech amegeiana hiyo monyo, walishika mbulu na wakahave kumnyang'anya band ya ucapi. Hii risto Elsie alikuwa ameichora kwa Facebook page ya kwake. Bado riba the same kimbronje wa Oliech anajiita Ken akiwa Capi wa Gor, the same story ikamfanyikia.

Maofficials wa Gor walikuwa wanadaisha kumanga ganji ya bukla, yeseye aka kwara and the wakashika moto na kumchuja. Elsie anadaisha kucongratulate Ken juu anadai kuvie for Football Kenya Federation seat, upcoming election yenye itakuwa husuko October 2015.

Related Stories