Dinga nira ya Ferrari ku perform F1

January 30 2015 12:55pm     0 226

Photo Credit:Formula 1.com   Tingua risto

Sauber ni Formula One team ya husuko Swiss, na on Friday wali anua dinga yao nira yenye ita perfom hii mvua 2015. Color za dinga zenyewe ni blue na yellow, na dinga zenyewe zita gonywa na madere wao wawili wanira.

Dinga yenyewe ni The Ferrari-powered C3, na madere watazigonya ni Marcus Ericsson na Felipe Nasr. Mvua imepita madere wa Sauber, walikuwa wanagurumisha The Ferrari-powered C3 na hii dinga iliwa angusha deadlly juu haikutoka ata na point jamo. Na ndio dinga ilkuwa ya fao kuwai produsiwa na Swiss.

Related Stories