Team ya vungu kuruka…

February 23 2015 4:00pm     0 576

Photo Credit:Google   Tingua risto

Team mbwexes zilichaguliwa kusaidia BBC kufikia audience ya mayut wa Africa kupitia social na digital platforms. Hisihi ikiwa ilifanyika baada ya kuparticipate kwa BBC Hackathon Event yenye ilikuwa hasapa Kanairo mwezi wa Feb.

Hasawa tech innovators walichaguliwa kutoka kwa mbanyu yetu ya Go Sheng Services alafu team ya seko wakiwa wanatambulika kama Ongair. Waliweza kupenya  kwa compe yenye ilikuwa  na team zinengi kinde na three.

Raha za kushinda hizo places limbi, ni juu watakuwa funded na BBC kuduu hiyo pilot na user test prototypes kwa period ya miezi sita hivi. Hisihi project inashow venye mayut wa 254 wameficha talanta kibao lakini zinamulikwa ajaabu.  kiche chenye participants walidai kuhusu hii project.

 

Related Stories