Ombitho kukubalika…

February 25 2015 5:05pm     0 690

Photo Credit:Google   Tingua risto

Parliament ya Jamaica, imepitisha bill jamo imekuwa ikileta vurugu kuruka, ikiwa inadaisha itakubalika kupatikana in possession of atleast 57g za ndom, na usikuwe charged. Yaani bora iko kiasi inatambulika utatumia solo, then utakuwa tu sawa.

 Tangu zamo, mayadi za Jamaica, raiya wamekuwa wakigrow ombitho hadharani. Ata inatambulika kama area jamo ya exporter fogo kufikisha ganja hadi Oteto. Lakini gava inadai kukaa rada na matumizi zake ikiwa nichi ya medical na scientific use sana sana.

Rende ya Rastafarians,wamekuwa wakitumia hisihi herb for religious purposes ata bafo gava kukubalisha. Sahii wanabambika yao yote juu ile riba ya kuget harassed na makarao juu ya ndom, itakatika.

Area zinengi pia kama Alaska, zilikubalisha wadhii kukapasha. Bora tu usipatikane ukikinda bila licence. Basi si wenye hii bizna watajichocha mbaya !

Related Stories