Changes kwa dates za Qatar 2022

February 26 2015 9:17am     0 486

Photo Credit:KTN   Tingua risto

FIFA world cup zitaguswa na siku mbao na eight kama FIFA congress imekubali proposal kutoka kwa task force yenye imekuwa meeting husuko Doha, Qatar.

Kulingana na hiyo proposal ilidaisha, FIFA ikiwa kama body sodi ya futa ikubali change ya dates. Kawaida World Cup imekuwa ikichezwa Kwanzia June-July, so inafaa kuwa moved hadi November-December.

Jerome Valcke ni FIFA secretary general, amedaisha hakuna venye European teams pekee kukwara hizi dates, juu ya premier league season yao. Kulingana na sources kutoka Qatar zinadaisha weather itakuwa poa sana husuko juu itakuwa season ya winter.

Related Stories