Mbona alisare kuroga

February 27 2015 12:24pm     1 843

Photo Credit:Edward Chweya   Tingua risto

 Amina Abdi ni presenter wa tenje Capital FM, na anashow wadhii wa sare kusema ati ni kwa nini alisare kuroga. Amina anadaisha alianguisha tu ngoma jamo na aka cheki ni heri kuventure kwa ile shuguli muhimu sana kwa life yake.

Amina saa hii ni paro na aliyebi amekishi mkwanja most na ngoma, akoana ni heri ku concetrate more kwa mbulu, tenje na shuguli zingine.

Na bado Amina alikuwa na word ya kushare na wasaani wale hutupa idhaa yao waki créate beef. Kama Brand ya kwako ni kali, hanaku haja ya kutupa idhaa na beef, wasaani wanafaa ku concetrate na goma .Na anasema music iko ganji lakini jitambue unafanya nini.

Related Stories