Ngwetes jamo famous!

March 2 2015 2:27pm     0 340

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Ping Pong ni ngwetes jamo special sana. Aliweza kuwai hiyo jina baada ya kuanza kutaga yayo ya round badala ya ile shape ya kawa ya oval. Hii riba imewezesha mwenye hii ngwetes kuingiza mkwanja mwenda, baada ya kupost hiyo yayo kwa internet.

Aliweza kuchangamsha wadhii kwa site inatambulika kama eBay, na kukawa na auctions za kuboti hiyo yayo. Wadhii walikenga mbisha kwa net walibambika vimost na kila mse akataka kuwai hisihi yayo rare na ya kipekee.

Sahii yayo ya Ping Pong inafikisha ngiri arbesa na tatu, soh mbee, kila jamo. Msee mwenye alishinda hiyo bid na kuboti yayo ya round, alidai ataiweka tu, juu hana mpango ya kuipika. iko haja gani ya kuget keroma alafu unakosa kudema?

Related Stories