Reasons za kugenya…

March 2 2015 3:56pm     0 343

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna venye wadhii hujifanya wameuma pamba ndio waget favors nifla ama kutry kuhepa ngori pia. Lakini blanda hukuwa, wanaweka uradi ya ufala njaro wanaudi kupatikana vimezesha kuruka. Lakini ata hivyo bado tunaweza kuwapatia marks juu ya kuingiza wasee box ajaabu.

Reason jamo bwaku ya wadhii kutamani kugenya, inakuanga ndio waget cheddars. Sana sana kwa wale wamekuwa wakiweka za insurance. Hasapa 254 kuna msee kutoka Siaya aliamua atatumia hiyo uradi, na akamanage kuwai ngiri soh sita, salasa na four, soh tisa salasa na six. Ezekiel Ogomo alidai aligenya kwa aksi ya baron a ikabaki wife amewaiwa hiyo ganji kama compensation.

Baada ya investigations, hisihi couple, walipatikana na hatia, na kufikishwa kotiko, kwenye iliamuliwa walitapee kampu ya Pan African Assurance, na wakawa wanaface charges za kupelekwa jela.

Husuko UK kuna mudhii mwenye alijifanya amegenya ndio asimarike kwa fiancé wake wa miaka mbweks. Alivutia manzi wake nangos akijifanya bazenga wa kwake na kudai eti anaomboleza, juu mniaju amededi kwa aksi. Mbuus alirudi kutambua ukwela baada ya kudungia nangos mapero wa mboiyz na kushoiwa hanaku msee amegenya kwa hiyo jakes. Sema kukatsika!

Fala mwingine naye alikuwa akitry kuhepa kulipa deni ya nangos, yenye ilikuwa ishafika thao kinde na six kwa arrears. Lakini ile ilibambisha vimost, ni risto ya mthama alikuwa amechoka kuenda chachiko, ikabaki amevako members eti anagenya juu ya Cancer. Alirudi kupanga hadi mangata na mazishi yake, lakini juu ya curiosity akaenda kuattend funeral yake eti kucheki kama mabeshte wake wangetokelezea. Si riba ilibako vimwenda kwa face yake!

Related Stories