Players wanira ninda ya KBC Show!

March 2 2015 4:23pm     0 918

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu zamo, show inajulikana kama Vioja Mahakamani, imekuwa ikishow kwa KBC Channel 1. Na imekuwa part ya lives za raiya kibao hasapa 254. Lakini inakaa sasa kuna noma ninda ya dustio bana.

Manze acting crew nzima imebadilishwa na casting crew nira kusetiwa hasapo ninda. Inasemekana KBC inacreate room for talanta nira. Kumaanisha ikabidi crew ya zamo kuchujwa waks. Sijui wale wazae wanafaa kuenda wapi sasa? Hiyo cast nira itakuwa na akina: Aliwa, Ayimba, Dr Ofweneke, Nice Githinji, Maasai na wengine.

 

 

Related Stories