Results za seko ziko njei

March 4 2015 3:50pm     0 101

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mvua ya 2014, ilikuwa the toughest kwa mastiude wa 2014. Lakini ata baada ya hizo challenges, walimanage kukalia exams zao na kujiprove. Nilitambua results zimemochoka nikiwa mtaani Tuesday ya March 3rd 2015, baada ya mateenie wa chuo iko hasapo mtaani kuamua kufanya celebrations kwa baro wakidai success yao ‘sio uchawi lakini kuchop hard’.

Lakini kumbe mastiude wote thao mbexes soh tisa na seventy kobole, hawawezi sema hivyo na confidence, juu kuna chuo ngovo national, zenye grades zao zilichujwa juu ya kuvako kwa exams. Blanda bwaku na hisihi riba ya cheating, ni venye mahedi na maodijo wanachangia zaidi kufundisha watoi kukosa kuwork hard.

Alafu maboy waliweza kuemerge top tena ikiwa male candidates thao limbi soh jamo, salasa na three waliwai mean grade ya A, then ikabaki madranya soh tisa arbesa kwa hii level pia. Lakini mastiude wale most waliwai mean grade ya C+.

Sa inasemekana cases za cheating zimedunda na ilikuwa maajabu sana kucheki taita taveta na Lamu hawakutokelezea kwa hiyo list. Enyewe congrats kwa mastiude wote, tunawaombea muweze kuzidi hadi uni kuget mwelekeo ya careers zao. 

Related Stories