Wakenya kuwakilisha majuu….

March 4 2015 4:41pm     0 180

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumekuwa na kelele kibao kuhusu husuyu dranya wa uptown ya kanairo, Lupita Nyong’o, lakini ni kama sisi husahau mjamaa wa Eastlando mwenye amekuwa akiwakilisha 254 tangu 2006 kwa Holywood scene.

Mjamaa mwenyewe ni Edi Gathegi, na inasemekana this round atakuwa na role bwaku sana kwa muvi inamuja May29th 2015. Atakuwa akiact kando ya Big-shots wa Hollywood; kama Bradley Cooper, Eric Baldwin, Rachel McAdams, Bill Murray na Danny McBride.

Muvi yenyewe itaitwa Aloha na atakuwa na role ya Cam Curtis, ikiwa ni comedy drama. Tuliwai kumcheki kwa muvi zinengi kama Twilight na X-files lakini akiwa na roles pienga. Inakaa waks yake imejipa na inafaa raiya wa 254 kumwai support mwenda juu akona talanta fyam pia.

Related Stories