Uko na skills za kutosha?

March 26 2015 6:31pm     0 465

Photo Credit:UTNE   Tingua risto

Yenyewe hii ndirao hauwezi sema hakuna waks...pengine ikue msee hajiskii ama hatoshi mboga.

Kuna social networking site ya malanga yenye wamesema wanasaka msee wa kucheki ka services malanga na brothel wanapeana ni za quality poa na kwa environment poa yenye wadhii watafurahia. Site yenyewe inaitwa kaufmich.com (ina translate roughly to "niboti") na ni site ya wasee wa industry ya kusaxuana from langa, kampu za escorts, wasee mpaka wateja. Wanadaisha wanasaka graduate, chali ama mresh, mwenye atajoin "quality team" yao na waks yake itakua kuenda kwa brothels kucheki vile wanado na ka zile rules zimewekwa za hii industry zinafuatwa vipoa. Wanasaka msee preferably amechop risto za hotel na service management juu lazima akue ako poa kudeal na wasee na pia aweze kumanga madem kadhaa of course kutumia kondiecha. Hii ni juu wanasaka kukua na system ya kurate brothels husuko Germany based on standards za nguvu.

Germany ni country jamo yenye kukua na brothel si blanda na hawa wasee wanadaisha kukua na system ya ratings itasaidia sana wasee waweze kujua ni nini wanaget before waishie, design ya site za hotels zinakuanga. Wanataka kuchuja ile biz ya msee kuishia alafu anapata either sio kitu alikua anataka ama si class ya mbosho yake.

Hii waks kuna vile inakaa inaweza kanja poa ama ni kuosha kuku miguu?

Related Stories