Utatupwa neti miaka ngovo

March 26 2015 9:14pm     0 403

Photo Credit:Chiangrai Times   Tingua risto

Ka hauna copy, unaweza sundwa neti for up to miaka ngovo ukidandiwa, Noma ni? Ukibambwa ka umepiga selfie ya underboob. Hii ndio law nira huko side za Thailand kulingana na riba tunaget.

Gava ya Thailand ni design ya Arme na wanadaisha hizi selfie zimekua trend husuko for a while na wamechoka juu ni kitu classified under Computer Crime Laws: "....obscene computer data haifai kukua accessible to raiya wowote" na kwanza wanasema hio trend ya madem kupiga mbisha bila uso kushow ndio mbaya zaidi juu ni kama ndio inaencourage madem wengine kudo hisivyo pia.

Sasa inasemekana, ukapatikana...unakula miaka ngovo ndani. Unakenga aje hii risto, ni law iko justified ama ni pang'ang'a tu?

Related Stories