Maua zinabadilisha colors

March 26 2015 10:06pm     0 436

Photo Credit:Pic Host   Tingua risto

Technology vile inaenda sasa inakaa kila siku maisha mtaani itakua different colors kwa wingi....hivi ndio wasomi nifla husuko Colorado, side za Oteto wanatry kudo na maua. Inakaa ka kitu ya movie lakini wanadaisha wako karibu kutoboa hii njaro vile ati kila ngware, maua zitakua zimebadilisha color from ile ya jana.

Wanakazana na maua inaitwa Petunia na wanasema wanataka zikue zikibadilisha colors from pink to blue na irudi pink tena depending na ray za jua kwa siku moja. Hii yote ni effort ya Keira Havens na partner wake Nikolai Braun wenye wako na kampu inajiita Revolution Bioengineering na wanasaka mkwanja waweze kuunda maua wataita "Petunia Circada" Wanasema science yake ni pienga juu maua, ka tu wasee na wanyama, hua zinafuata solar vile inaishia na wakiweza kutoboa hio part, wameumeria.

Na hii sio tu ile maua wameunda....wanasema kuna ingine wamesha unda yenye inachange from white to red, lakini ikipewa keroro. Wanadaisha hio color change ni juu ya ethanol yenye iko kwa keroro na plant jamo wanandonyo $42 ( karibu KSh 3,800) na inakam ikiwa white...lakini ukiwekea keroro, within 24 hrs inachange iakua red na itabaki hisivyo wiki nzima unless ipewe waba kiasi. Wanadaisha hisii bado haiko fully ready na watakua ready kundonyo vipoa in 2017

Yebi videsa yenyewe hasapa nichi...ni kitu poa kwa wasee ama ni idhaa na mkwanja tu wanatupotezea?

 

 

Related Stories