Benefit zingine za njoti

March 29 2015 8:17pm     0 555

Photo Credit:Nuffield Health   Tingua risto

Wasomi wameamua kutuangushia facts kadhaa zenge ni mwenda kiasi yake....na hii ni kuhusu njoti na benefits zake kwa madem. Njoti hua made up of vitu most sana na sperms hua tu ka 3% ya hii brus. Kitu si watu wengi wanajua ni zile vitu zingine hua kwa njoti: mostly waba na compound zingine ka chwani, gashu, immunosuppressants, hormone za madem mbe, na vitu za kubadilisha mood za msus zikue poa. Hizi ni: endorphins, estrone, prolactin, oxytocin, thyrotrpin-releasing hormone, na hata serotonin. Hizi zote hua zinakua absorbed na ikuus, zinasare sperms kuishia kusaka yayo.

Hii riba ilifanya wasomi nifla kutoka State University of New York, huko Oteto, wakiongozwa na Psychologist Gordon Gallup, waliyebi madem 293 wa kampo kuhusu vile wanasaxuana, wenye wanatumia kondiecha na wale hawatumii. Test yenyewe ilikua ya mood na results vile zilitoka, ilikua clear, wale madem hawakua wanatumia kondiecha hawakua na moods deressive ama za kujam. 

Hii study kuna vile....unaiamini ama ni pang'ang'a tu?

 

Related Stories