Kulipia mtoi fake miaka 6

March 29 2015 9:54pm     0 348

Photo Credit:Huffpost   Tingua risto

Mdabus nifla amekua akichochwa vile ako na mniaju na kumbe hakuna for miaka 6. Na isitoshe, inasemekana amekua akituma mkwanja kushughulikia mtoi...

Hii riba ni ya msus nifla anajiita Johna Vandermore mwenye amesundwa neti miezi 18 juu ya kucon mdabus nifla. Joana alikua anakatiana na husuyo mdabus na vile walikatsiana, alimshow ako na dumbo. Husuyo mdabus hakuruka, wakaskizana atakua anamtumia kakitu kila mwezi, kushughulikua mtoi. Waliskizana atakua anatuma $1,000 kila mwezi ana atakua anashughulikia vitu ka hosi, birthdays na holidays. 

In total husuyu mdabus anadaisha ametuma $95,850 in total over hizo miaka sita amekua akiambiwa ako na mniaju. Blanda ni, Joana alimtumia birth certificate imbo yenye iko na mpaka jina ya hosi haiko, akatumia mbisha za mniaju wa cuzo yake akidaisha huyo ndio mtoi...na isitoshe, hakumshow ati alimarry msee mweingine. Na aligunduliwa vile FBI walianza kumchunguza. Haijasemekana exactly mbona walianza kumchunguch but walipata kumbe ako na box ingine ya posta yenye ndio alikua anakwachu hio mkwanja alikua anatumiwa na ex wa kwake.

Hii story kuna vile haileti shangwe, mbona msus aendelee kumangia mkwanja ya msee bana? Unayebi aje hii riba?

Related Stories