Jeremy Clarkson anaishia Netflix?

March 29 2015 10:07pm     0 730

Photo Credit:Hype Beast   Tingua risto

Hii mwezi imekua jamo ya aajab kwa husuyu mdabus, Jeremy Clarkson. After wakorofishane na producer wa show yake huko BBC, Top Gear, alibaki amechujwa waks kutoka kwa hio show ya vungu na umati imekua ikisema hio show watakua na shida kuget msee mwingine ka yeye.

Jeremy naye on the other hand inasemekana hata after kuchujwa waks, ni ka hatakaa mtaani kubangaiza....ashaanza kupata offers kadhaa kutoka kwa kampu zingine, moja yao ikiwa kampu inajiita Netflix. Netflix ni kampu ya kustream mamuvi na progi kwa telly na online kutoka huko majuu.

Inasemekana Jeremy akiishia huko Netflix, anaweza pewa full control ya kitu yoyote atadaisha kuunda kwa hio kampu, yaani ako na freedom kuunda progi ingine ya mandae ka anajiskia. Wacha tuyebi ka ataitikia kuishia Netflix na aataamulia nini. Unaona future yake iko jea, kwa mandae ama aishie tu home akatulize?

Related Stories