Njia simple ya kuzishughulikia

March 29 2015 11:20pm     0 652

Photo Credit:Orijin Culture   Tingua risto

Madoki wamekua wakishow madem na umati in general kuhusu breast Cancer na vile ni noma. Hii ni juu tunapoteza wasupa wengi sana juu ya kitu inaweza kua treated ikagunduliwa mapema. Na hata before igunduliwe, inasemekana kuna hizi njia kadhaa wasupa wanaweza fuata kutry kujiweka lembes wasishikwe na breast cancer. Sare tuzichambue hasapa:

  1. Weight poa: Msus anafaa kukua na weight kiasi yake yenye haitamlemea. Madoki wanadaisha wasus waslim wako na chances beteta za kuhepa na hata kupona from Cancer
  2. Tizi: Si lazima gym lakini tizi regular ni muhimu kudo tizi ya dakika 45 ama 1hr mara tano kwa wiki. Hii ni juu tizi husaidia na immunity kiasi yake juu inazuia msee kuongeza kilo na pia kureduce levels za insulin na estrogen
  3. Mboga: Kudema mboga na matunda ni muhimu juu hazina risto ya kuongeza mafuta kwa mwili. Mboga design ya "cruciferous" pia zinasemekana kuna vle zinasaidia kureduce multiplication ya cancer cells kwa mwili.
  4. Histo ya famo: Hii ni muhmu juu inasemekana karibu 15% ya cases za breast cancer ni juu iko kwa immediate family. Yebi ka kuna msee kwa famo ako nayo na ako how close
  5. Chekiwa na doki: Ni muhimu msupa achekiwe na doki na on a regular basis; at least kila miaka tatu kwa wasupa wako above miaka 40. Ka kuna msee ashawai kua nayo kwa famo, ni muhimu madem wachekiwe from wakiwa na miaka 25, ama hata 10, depending na mwenye alikua nayo iligunduliwa akiwa how old
  6. Punguza keroro: Research inadaisha ati drink mbili kila siku inaongeza risk by up to 21% so ni poa kureduce keroro ka msee ni lazima akunywe

Unakenga aje, uko na msupa unaweza taka kumshow hii riba? Tuma link mara hio hio

Related Stories