Deal ya Lewis Hamilton na sido

March 31 2015 9:13am     0 200

Photo Credit:BBC News   Tingua risto

World Champion wa Formula 1 Lewis Hamilton, anafaa ku sign deal nyingine na sido ya hii mvua. Hamilton anadaisha contract yenyewe imebaki kuwa signed na itakuwa worth pounds mita mbao saba kila mwaka.

Lewis Hamilton ni msee kutoka Briton a yukona miaka salasa, andaisha already hisiyo deal iko 99.6 % na imebaki kuwa finalized na lawyers. Ali join Mercedes 2013, after mika sika na MacLaren. Aki join sido mkwanja ya kwake alikuwana anakanjwa na dolare na ilikuwa $mita salasa na jamo (pounds 20.9m) kimoja na na extensive bonus. Saa hii iki convert pounds mbaula na saba to dolare zina mula $ mita tefo.

Yebi hisihi list ya 2014 ya wadhii wa sports wana kaingiza.

Wa fao ni msee wa ndondi Floyed Mayweather na $105 (pounds 70.9m)

Wa seko ni Christiano Ronaldo player wa futa na $80m (pounds 54m)

Wa thado ni LeBron James player wa bake na yeseye anaingiza $72.3m (pounds 48.8m)

Wa fotho ni Lionel Messi player wa futa wa Barca, na yeseye anapokea $64.7m (pounds 43.7m)

Wa kobole ni Kobe Brayant player wa bake wa LA Lakers naye ana get $61.5m (pounds 41.5m)

Hao nikadhaa tu but bado kunao wadhii fogo sana wana spoti wana ingiza mkwanja ile deadly.

Related Stories