Keja ya Tyson kuconvertiwa to chachiko

April 1 2015 8:56am     0 432

Photo Credit:The SportBible   Tingua risto

Tuna mtambua Mike Tyson enzi zake akiwa bado anagusa boka, kwanzia 1980s hadi 90. Alikuwa msee mjamo wagwan, yeseye ndio alikuwa champee wa World Heavyweight Champion hiyo time yake.

Hiyo time Tyson alikuwa ana worth doo ingine mob sana juu mengo zake zote zilikuwa box office, nowonder ali weza afford jakes kama hisiyo. Sasa husuyu mjamo akona blanda baada ya hisiyo jakes kuichorea.

Ile time maganji zilianza kuleta noma, baada ya ku convictiwa na case ya rape ilimcost doo most sana hadi akasota. Hii jakes ikiwa located husuko Southington, Ohio Steto ni jakes noma sana. Ikona bedroom kobole zile mwenda na decoration, room ya Jacuzzi, ikiwa na indoor pool, ma living room kadhaa, bafu saba na nusu, kitchen mzima yenye ikona burungo zote, alafu bado kun aka mini kitchen kimoja na washroom, riko mbili zimeshikana, na external jamo alafu court ya bake, and the ya last kabisa ni cage ya tiger.

Hisihi jakes ni property jamo kali sana, keja yenyewe ilikindwa 2014, na ina planiwa ku convertiwa kuwa chachiko, hapo ma next year. Tunajuwa ni wadhii wengi sana walikuwa wana sifu Tyson akiwa ana ishi kwa hii keja. Hasapa kuna videsa ya hiyo jakes

Related Stories