April Fools

April 1 2015 11:56pm     0 1179

Photo Credit:Sheng Nation   Tingua risto

Hii hua ni day moja hua imejaa makata kila place na usipochunga unaweza jipata umeingizwa kiasi yake.

Hatukua tubaki nyuma na tuliamua kuchomoa prank yetu ya April Fools, design tulichocha umati kiasi yake vile tuko na event ya kuanua energy drink ya power, Nare Nare! Tuliamua tukae rada na mabeshte kadhaa wenye walitusaidia kufanya hii event imbo ikae ni ka real na lazima tuwapee shukran bigi sana kwa waks wamedo na kukua mabeshte wetu. Shukran CrazyNairobian na Joe Muchiri...next year tutacheki mepu itakua gani.

Usikonde lakini, kuna mepu tunachorea...hii form ya energy drink inaweza kua reality soon...kaa tu rada. Uliingizwa na vako gani leo vile ilikua April Fools?

Related Stories