Umenimalizia food?

April 2 2015 2:22am     0 859

Photo Credit:Witty Badger   Tingua risto

Yenyewe wahenga hawakukosea vile walisema "a hungry (wo)man is an angry (wo)man" na hii ni riba mbuyu nifla atakushow ni true story. Ronnie Buckner ni jamaa alikua anaishi na mshe wa kwake, Phillis Jefferson na riba alipea makarao ni ingine tu ya sinema.

Ronnie mwenye ako na miaka 61, anadaisha walikua mtaani wakidema "salsa" na kidogo kidogo Phillis mwenye ako na miaka 50, akaanza kumtetesha ati amekula salsa yote. Hapo ndio Phillis alikwachu vitu kwa keja na akaanza kuleta vurugu, kutupa vitu kila mahali. Ronnie hakua anataka noma, akaanza kuokota vitu, moja yao ikiwa telly na hapo Phillis akakwachu pen, akamdunga nayo. Inakaa aliona haileti effect anataka juu aliingia jikoko na akakam na ukapi. Hapo ndio alianza kumdunga nayo.

After amdunge ilibaki amehepa na alibambwa na makarao akiwa kwa ubaro akihepa. Ilibaki amesundwa neti na boiz wa kwake akapelekwa hosi.

Yenyewe hii ni riba ya aina gani, wasee wanapigana juu ya dema kejani?

Related Stories