Aksi jamo ya nux…

April 20 2015 11:49am     0 403

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ngware ya ndeisa nifla, truck ilikuwa imebeba bee hives soh nnei hamsa na nane, ilidunda kwa highway jamo husuko Washington, na kusababisha series za ma-aksi kibao. Nyuki zenye zilikua kwa hizo hive, zilimochoka zikiwa confused na hasira na kuanza kuattack wadhii, ikiwa madere wengine.

Sa madere wenye walipatwa offguard walikuwa stinged na nyuki fogo na ikacause aksi zinengi kwa hiyo baro. Atleast mafaya na beekeepers waliweza fika kwa scene tenee, na kumwaga mix ya foam na waba, kutuliza hizo nyuki.

Wadhii pia walichanuliwa, kama wanatumiahiyo ubaro, kutinga madiro ndio kuavoid kupokea stings. Sa kabla hisiyo truck kuchujwa hasapo kwa scene ya aksi, kulikuwa na jam ya kimataifa na baro ilikuwa imejaa nyuki zimededi. Lakini hanaku msee aligenya. 

Related Stories