Njumu yenye inagrow?

April 20 2015 12:20pm     0 418

Photo Credit:image buzz   Tingua risto

Kenton Lee anadaisha hakuwai tambua umuhimu wa njumu hadi time jamo venye akiwa amemuja Kenya na kucheki mniaju alikua amesha outgrow njuta zake, ikabidi amekata hasapo lembe ndio vidole zisifinywe. Yaani spoti ikageuzwa kukuwa olipo.

Lee alisumbuliwa sana na hiyo mbisha na akakuom na ida jamo fyam kurka. Akadaisha lazima atasaka venye atamekisha njumu inagrow. Miaka mob baaden, aliweza kufikisha dream yake. Ata baada ya idea yake kuchujwa na makampu bwaku kama Nike, Crocs na Toms, hakuwai choka kusaka.

Finally aliweza kuwai deal na wasee wa Proof of Concept na wakakamisha design inaweza kubalisha njumu kuvaliwa hadi miaka kobole na mniaju mjamo. Side ya juu ikona leather soft na niche, sole yenye inalast kama venye taya hukuwa.

 

Njaro yake ni ile ya akala only that inakaa beteta.                                                

 

Sahii ameweza kung’arisha waniju thao mbexes soh ngovo, kwa countries saba tofauti hasapa Africa. Inadaishwa njuta jamo inakindwa soh tisa na zinapatikana za watoi solo. Kumbe kuna wasee wabwaku wanadaisha kukindiwa na size zao, juu enyewe ukawai hisihi pair jamo, ni kumaanisha hanaku kuboti ndula miaka zinengi kobole.

Inaweza kuwa njaro best ya kutumia thao yako, ama?

Related Stories