Eti msus hafai kukuwa orezo!

April 20 2015 2:59pm     0 340

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mbuus mjamo kutoka husuko Texas amenye anatambulika kama mdosi wa kampu inaitwa Go Ape Marketing, alidaisha eti hanaku msus anafaa kukuwa Orezo. Alichora hii statement kwa post yake ya Facebook na raiya wa Oteto wamemochoa mixed emotions na comments kuhusu hii riba.

 

 

Cheryl Rios sasa amekuwa famous njaro tofauti na hadi alifwatiliwa na wasee wa media wakitaka kujua kwanini alisema hivyo. Alidaisha hana noma na mambuus wenye wako successful lakini kuna blanda ikimuja kusimamia country nzima.

 

 

 

Alisema ni juu mambuus wakona hormones tofauti na majamaa alafu pia kulingana na Bible, reasons pale zinashow si poa. Ata baada ya kukemewa na wadhii kibao, anajitetea na kwamba hisihi ni opinion yake na atazidi nayo.

Wesewe unacheki kama alido poa ama akona ufala ?

Related Stories